Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk.
Karibu kwenye Ulimwenguwaufeminine Frequency, Sehemu sahihi kwa mwanamke kujitambua na kuishi ndani ya nguvu yake ya kike bila uwoga, ku-level up sectors zote ili Kupata unachotaka bila kutumia nguvu na kuepuka kutumiwa Bure. Hapa tunaingia ndani kabisa kwenye kila kitu kinachomuhusu mwanamke ku-level kwenye mahusiano, kimuonekano, hisia zetu, urembo , usafi halisi (ndiyo, mpaka K!), Sex psychology, wanaume na nafasi yao kwetu, Pesa, fitness, na maisha soft kwa mwanamke anayependa kuishi Soft. Welcome home QUEEN!
Jinsi ya kuanza kujitambua / self-awareness.
self awareness ndio chanzo cha wewe kuishi vile unavyostahili, kuwa magnetic, irressistable, unforgettable. Let’s dive in.
Jinsi ya ku-Detach bila kuzima hisia.
Detachment ni your super power , Detachment sio kukimbia hisia zako au kuzizima na kuwasha akili tu,
Detachment ni kujipenda bila kushikilia chochote nje yako.Kwenye episode hii tunazungumzia hilo kwa undani zaidi.
Kama umechoka ku-attach mpaka kuumia, ku-heal kila siku
episode hii ni kwa ajili yako.
Jinsi ya kuwa Self Obsessed
Kwenye hii episode tunazungumza kuhusu self obsession baby,
sio ile ya kujisifu sana au ubinafsi usio na maana.
Nazungumzia ile ya kurudi kwako kama mwanamke Feminine.
Utajifunza
–Maana halisi ya kuwa self-obsessed kama mwanamke
– Namna ya kuanza kujichagua bila kujisikia hatia
– Kwa nini kujipenda kuanzia ndani kunabadilisha mahusiano, pesa, na maisha kwa ujumla
Kama umewahi kujisahau ili upendwe au ukubalike
episode hii ni kwa ajili yako.
Vitu ambavyo hatuvifanyi in 2026!
Kwenye hii episode tunazungumzia vitu muhimu sana kuzingatia kwenye huu Mwaka na vitu vya kuachana navyo ili kuwa na the best 2026! kwenye sector zote na lifestyle kwa ujumla, i really want you to not just listen but get into it by doing action starting today.
Unatambua thamani yako?
Karibu kwenye The Feminine Frequency , mahali ambapo wanawake wanarudi home kwenye mioyo yao, kwenye feminine energy yao, na kwenye thamani yao halisi. Leo kwenye hii ep ya kwanza nataka kukuuliza swali moja tu… Do you really know your worth? Ama umeishi kwenye survival mode kwa muda mrefu mpaka hujijui tena?
Hapa utasikia version yangu ambayo hujawahi kusikia Instagram, tiktok au YT.More soft. More deep. More real.
This is your new safe space, baby girl. Welcome home.