MSASA Podcast

40 Episodes
Subscribe

By: Elisha Simon

KARIBU MSASA.Ā A show where we talk to successful people about FAILURE.

āœ‚ļø Clip this podcast
SIRI YA UWEKEZAJI BONGO - MSASA NA IMANI MUHINGO
SIRI YA UWEKEZAJI BONGO - MSASA NA IMANI MUHINGO episode artwork
#7
Today at 3:00 AM

Send us Fan Mail

Kuna kitu kinabadilika kwenye namna Watanzania wanavyofikiria kuhusu pesa na uwekezaji. šŸ“ˆšŸ‡¹šŸ‡æ

Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia muamko wa uwekezaji, lakini what does this really tell us about our economy and where we're headed?

Kwenye Episode 6 ya MSASA Podcast, Imani Muhingo anatupa perspective kuhusu mabadiliko ya masoko ya mitaji, ukuaji wa uchumi na opportunities zinazojitokeza Tanzania.

Na muhimu zaidi, nafasi ya mtu mmoja mmoja kwenye haya mabadiliko.

Karibu MSASANI. šŸŽ™ļø

#MSASAPodcast #ImaniMuhingo #Uchumi #Uwekezaji

#MSASAPodcastĀ 

Host: Hisia

Instagram: Ā  / hisiatz Ā 

MSASA PODCAS...


UMAARUFU BILA PESA - MSASA NA MZEE SHAYO
UMAARUFU BILA PESA - MSASA NA MZEE SHAYO episode artwork
#6
Last Wednesday at 9:00 AM

Send us Fan Mail

Maisha ya sanaa yana mambo mengi, na kwa bahati mbaya, mengi hatuyaoni mbele ya hadhira. Tunachokiona mara nyingi ni kile tu ambacho mastaa tunaowapenda wanakifanya, na sisi ku-enjoy kazi zao. Lakini nyuma ya pazia, maisha hayana script na kwa asilimia kubwa sana wote tunafanana.

Maxwell Wilfred Machange ni mchekeshaji aliyedumu takribani miaka kumi kwenye kiwanda cha sanaa Tanzania. Tumebahatika kupiga naye stori kuhusiana na uchekeshaji na sanaa kwa ujumla. Kwa kweli, MSASA wake umekaa kama wa mwanataaluma wa burudani zaidi ya mchekeshaji tu. Na wewe mtazamaji, jitahidi kuisikiliza episode hii katika...


Tunatembea na Hofu ya PESA
Tunatembea na Hofu ya PESA episode artwork
#5
09/27/2026

Send us Fan Mail

Ā 

Pesa ni sehemu ya maisha yetu kila siku. Tunaitafuta, tunaipangia mipango, tunaitumia, na kila wakati… tunaiwazia.

Lakini hofu hii ya pesa inatoka wapi? Na kwa nini pamoja na kufanya kazi, kupata kipato na kujaribu kupanga maisha yetu, bado pesa inabaki kuwa chanzo cha mawazo na stress?

Kwenye episode hii, Mr. Emmanuel Yaredi Mahodanga, Banker na Head of Personal Banking, anatupa mtazamo wake kuhusu pesa akiwa upande wa ulimwengu wa banking, huku tukigusa na kujibu baadhi ya maswali ambayo sisi watu wa nje tum...


You Can Only Dream to the Level of Your Exposure
You Can Only Dream to the Level of Your Exposure episode artwork
#4
09/13/2026

Send us Fan Mail

Ā 

What if you're not dreaming too small, you just haven't been exposed to enough?

In this episode of MSASA, we sit down with Lwidiko Edward Mhamilawa, a trained medical doctor who moved from medicine and academia into STEAM education and social entrepreneurship, building an initiative that has spent years helping young people solve real-world problems through science, technology, engineering, Arts, and mathematics.

We talk about exposure and ambition, why young people need opportunities to see beyond what they already know, and the i...


You Had So Much Potential What Happened -MSASA NA BRYAN RUSSEL
You Had So Much Potential What Happened -MSASA NA BRYAN RUSSEL episode artwork
#3
08/30/2026

Send us Fan Mail

People are at the centre of every business, but finding, developing and keeping the right people is a different game altogether.

In this episode of the MSASA Podcast, Bryan Russell takes us beyond the usual HR conversation into the realities of people, business, and what it really takes to make the workplace work.

From career progression and workplace culture to performance, retention, the employee employer relationship and the Gen Z workforce, this conversation explores what all of this means from a business perspective and how HR can create value...


Ujana ni Kitendawili, Tengua! - MSASA NA ALLAN LUCKY
Ujana ni Kitendawili, Tengua! - MSASA NA ALLAN LUCKY episode artwork
#2
08/16/2026

Send us Fan Mail

Baada ya kuzungumzia pesa kwenye Episode 1 ya Season 2, sasa tumehamia kwa watafutaji wakuu wa hiyo pesa - vijana.

Wanatafuta mkwanja. Wanatafuta kutoka. Wanatafuta kujikwamua.

Lakini kwenye safari hii ya kutafuta, kujijenga na kufanikiwa, kitendawili cha kijana kufanikiwa kinatenguliwaje na nani anahusika kutengua?

Kwenye Episode yetu ya pili, tuko na Allan Lucky, na anatupiga msasa wa kwa nini kitendawili hiki ni cha kaa kule, nikae huku, tumfinye mchawi. šŸ˜…

Kila mtu kwenye jamii ana nafasi katika kutengua kitendawili cha kijana kufanikiwa - kuanzia familia, malezi, mazingira, mifumo, had...


Kuwa tajiri au maskini ni maamuzi binafsi - MSASA NA JOHN GEORGE
Kuwa tajiri au maskini ni maamuzi binafsi - MSASA NA JOHN GEORGE episode artwork
#1
08/03/2026

Send us Fan Mail

Karibu msasani! šŸŽ™ļø

Leo tuko na John George, na tunazungumza kuhusu jambo ambalo kila mmoja wetu analifukuzia, PESA.

Lakini je, kupata pesa ndiyo changamoto kubwa, au kuzitunza? Financial freedom ni nini hasa? Na kwa nini maamuzi madogo tunayofanya leo yanaweza kuamua maisha yetu ya baadaye?

Haya ni mazungumzo kuhusu pesa, nidhamu, uwekezaji, na maamuzi yanayoweza kubadili maisha yetu ya kifedha.

Guest: John George

Instagram: Ā  / georgejn2000 Ā 

#FinancialFreedom #Investing #Wealth #PersonalFinance #MSASAPo...


Mpishi wa pilau
Mpishi wa pilau episode artwork
12/14/2025

Send us Fan Mail


Bongo Mkononi
Bongo Mkononi episode artwork
12/13/2025

Send us Fan Mail

Bongoflava imekuwa sauti ya kizazi - lakini ni nani aliyeianzishia safari? Karibu kwenye Msasa waĀ  Taji Liundi — ā€œMaster Tā€..


Tatizo ni kwenye kugawana %
Tatizo ni kwenye kugawana % episode artwork
12/13/2025

Send us Fan Mail

Je unapenda kula?
Je wewe ni mnazi wa pilau?
Je ukiwekewa pilau na pilau utakula pilau?
Episode hii ya @Msasapodcast inanukia viungo vya pilau tamu kutoka kwa main chef @gillsaint.

Humu ni nondo za jinsi gani unaweza kutobowa kwenye ulimwengu huu wa kujiajiri na kuajiriwa mtandaoni.

Tufuatilie kwenye digital platfom zote @Msasapodcast , pia pilau likinoga onjesha na wenzio.😁


Baraka za Baraka
Baraka za Baraka episode artwork
11/23/2025

Send us Fan Mail


People Don’t Buy Software to Win , They Buy It to StopĀ theĀ Pain
People Don’t Buy Software to Win , They Buy It to StopĀ theĀ Pain episode artwork
10/26/2025

Send us Fan Mail

Beyond code and connectivity, it’s about people, purpose, and progress.

From Tanzania to the rest of the continent, @tahajiwaji , Founder and CEO of @beem.africa is redefining how businesses communicate, grow, and build lasting relationships through technology.

But ā€œYou can’t build a big business just relying on technology.ā€

In this episode of Msasa, we go beyond the buzzwords, exploring what it really takes to scale, adapt, and empower others in markets that are still finding their digital rhythm.


Sina Kazi Naishi Ninavyotaka
Sina Kazi Naishi Ninavyotaka episode artwork
10/23/2025

Send us Fan Mail

Hii version ya Msasa inaitwa ā€œtega sikio, pesa inaongeaā€. Hapa stori ni jinsi gani unaweza kutumia hela kutengeneza helaĀ  wapi, kwa namna gani, kwa kipindi gani, na ukiwa na malengo gani. Bila kusahau, kwenye kutafuta hela kuna maisha pia. Je, unastaafu vipi?Ā 


Watch out new episode ya Msasa na @neema_chamy, inapatikana kwenye digital channels zote.

Tafadhali share episode hii adimu kwa mtu ambaye ungetamani apate madini kuhusu pesa.


#msasapodcast #tegasikio #pesainaongea #richauntievibes #moneytalks #financialfreedom.


Kuna Maisha kwenye Siasa
Kuna Maisha kwenye Siasa episode artwork
10/07/2025

Send us Fan Mail

Msasa wa leo umeingia na boti la mapema,Ā  so pay attention maana kuna zawadi ya madini kutoka Thomas kibwana . Mchambuzi wa masuala ya kisiasa na ubobezi wa mauzo.




The Entrepreneur’s Guide to Employment
The Entrepreneur’s Guide to Employment episode artwork
09/28/2025

Send us Fan Mail

In this episode of Msasa with Rumisho, we dive deep into leadership, integrity, teamwork, and the entrepreneurial spirit. From taking full responsibility, to building confidence as the number one salesperson in your business, Rumisho shares lessons from his own journey.

šŸŽ§ Guest: Rumisho Shikonyi
šŸŽ™ Host: Elisha Simon (Hisiatz)

Tune in for insights on: #Inspiration #EntrepreneurshipĀ  #GrowthMindset #businessownerĀ  #PersonalGrowth #MsasaPodcast #BusinessInFashion #LifeLessons

Join us on the MSASA PODCAST šŸŽ™ļø:
🌐 Website: https://neiked.co.tz/msasa/
šŸŽ§ Listen on Buzzsprout: https://www.buzzsprout.com/2288412/share
Discover and explore the podcast!


Jinsi Ya Kuongea Na Mungu
Jinsi Ya Kuongea Na Mungu episode artwork
09/16/2025

Send us Fan Mail

This is one of those episodes that makes you sit back, listen, and reflect: What am I without God? What is my purpose am I truly living it? How do I discover it? And wait, I’m not alone in facing the everyday challenges of life.

In this conversation, Lisa Ackim a Lawyer, Orphan Welfare Advocate, Community Mediator, Peacemaker, and Small Business Coach opens up about her journey, one we believe will leave a lasting impact on you. Karibu!


Conversations to conversions
Conversations to conversions episode artwork
09/08/2025

Send us Fan Mail

Today we’ve got someone who knows the game inside out — Milu Kipimo. Entrepreneur and master of sales.

If you’ve been running on that old playbook of tricks and fast talk — delete it. This is about trust, respect, and real human connection.

šŸŽ§ Guest: Milu Kipimo
šŸŽ™ Host: Elisha Simon a.k.a Hisiatz



Matamu na machungu ya kutafuta mafanikio
Matamu na machungu ya kutafuta mafanikio episode artwork
08/31/2025

Send us Fan Mail

Daktari wa camera mbele ya camera za Msasa , hadithi zinazopigwa humu ni maisha, kuishi , wakati , kufeli , kupanda na kushuka bila bei kushuka.Ā 

Inapatikana kesho mapema kwenye digital platforms zote.

#msasa #hanscana #kubetiĀ 



Living with demons : A battle for control and healing
Living with demons : A battle for control and healing episode artwork
07/26/2025

Send us Fan Mail

Join us on this episode of the #Msasapodcast as Walter Simalike introduces acceptance and realization as the ultimate step 1.

#MsasaPodcast #WalterSimalike #Overindulgence #AddictionAndRecovery #FindingBalance #MentalHealthMatters


Shughuli ni Watu
Shughuli ni Watu episode artwork
07/26/2025

Send us Fan Mail

Episode hii na Seba Kolowa ni shuhuda ya jinsi kijana unavyoweza kupiga hatua kutoka ulipo, mpaka pahala pengine kwa vile ulivyonavyo na vingine vya kuvitafuta.


Trust the process
Trust the process episode artwork
12/08/2024

Send us Fan Mail

There is clarity in chaos when you trust the processšŸ’ŖšŸ¾

šŸŽ§ Join us on the #Msasapodcast for a heartfelt conversation about faith, resilience, and the beauty of surrendering to something bigger this sunday withĀ  @_TimFordJ


Guest: Tim Ford
https://www.instagram.com/_timfordjr/?hl=en

Host: Hisia
https://instagram.com/hisiatz/

šŸŽ™ MSASA PODCAST:

šŸ’¬ Let’s Touch Base on WhatsApp Channel
https://whatsapp.com/channel/0029VaFg...

šŸŽ§ For more content like this, SUBSCRIBE to our channel
/ @msasapodcast

🌐 Our Website:
https...


Moyo unakuwaga mzito kwa mwanaume
Moyo unakuwaga mzito kwa mwanaume episode artwork
12/01/2024

Send us Fan Mail

This week on the #MsasaPodcast, we’re joined by the Michael Baruti of Ā @menthepodcast Ā  We’re diving deep into the often-overlooked conversation, the struggles, the stigma, and the path to healing for men and mental health.

#MenAndMentalHealth

Guest: Michael Baruti

https://www.instagram.com/michaelbaruti/
--
Host: HisiaĀ 
https://instagram.com/hisiatz/Ā 

MSASA PODCASTĀ  šŸŽ™ :

Let’s Touch Base on WhatsApp Channel šŸ’¬
https://whatsapp.com/channel/0029VaFg...Ā 


For more content like this SUBSCRIBE To our channel
Ā  Ā / @msasapodcast Ā 
<...


Watu wa Kariakoo waliniokoa
Watu wa Kariakoo waliniokoa episode artwork
12/01/2024

Send us Fan Mail

Tafuteni Popcon jamani @lamataleah ana yake ya kutupiga #Msasa🤭

Guest: LAMATA

https://www.instagram.com/lamataleah/
--
Host: HisiaĀ 
https://instagram.com/hisiatz/Ā 

MSASA PODCASTĀ  šŸŽ™ :

Let’s Touch Base on WhatsApp Channel šŸ’¬
https://whatsapp.com/channel/0029VaFg...Ā 


For more content like this SUBSCRIBE To our channel
Ā  Ā / @msasapodcast Ā 

Our Website
https://neiked.co.tz/msasa/

Podcast Streaming: https://www.buzzsprout.com/2288412/share

#sanaa #cinema #filmintanzania #filmmaker #director


From passion to profit
From passion to profit episode artwork
11/23/2024

Send us Fan Mail

What happens when you're a creative but the hustle demands you be a businessman too?Ā  #TodayĀ  we sit down with the fabulous hustler Ally Rehmtullah to unpack the chaos, the challenges, and the compromises of balancing artistry with #entrepreneurship

Guest: Ally Rehmtullah

https://www.instagram.com/allyrehmtullah/
--
Host: Hisia
https://instagram.com/hisiatz/

MSASA PODCASTĀ  šŸŽ™ :

Let’s Touch Base on WhatsApp Channel šŸ’¬
https://whatsapp.com/channel/0029VaFg...


For more content like this SUBSCRIBE To our channel
@msasapodcas...


From Child to Breadwinner
From Child to Breadwinner episode artwork
11/13/2024

Send us Fan Mail

Today, we’re thrilled to host Khalila Mbowe, also known as Kellz—a visionary social entrepreneur and the founder of Unleashed Africa. Her organization is dedicated to empowering East African youth through the arts, leadership, and entrepreneurship, providing skills and opportunities to fuel their creative and professional journeys. In this episode, Khalila shares her journey, drive for social change, and valuable insights on uplifting young people across the region. Join us for a powerful conversation on youth empowerment, growth, and the future of social entrepreneurship!

šŸŽ§ Guest: Khalila Mbowe (Kellz)
šŸŽ™ Host: Elisha Sim...


Baharia Mwenye SWAG
Baharia Mwenye SWAG episode artwork
11/10/2024

Send us Fan Mail

J2 hii on the #MsasaPodcast @Mtani_bespokeĀ  AKA Fundi ,tafuta mkasi, uzi na kiwembe, maana Msasa wa leo ni wa kitambaa. Tune in to find out how @mtani_bespoke tailored a life that suits him.

šŸŽ§ Guest: Mtani Nyamakababi (Mtani Bespoke)
šŸŽ™ Host: Elisha Simon (Hisiatz)

Tune in for insights on: #Inspiration #EntrepreneurshipĀ  #StreetSmarts #GrowthMindset #Marketing #businessownerĀ  #PersonalGrowth #MsasaPodcast #BusinessInFashion #LifeLessons

Join us on the MSASA PODCAST šŸŽ™ļø:
🌐 Website: https://neiked.co.tz/msasa/
šŸ“² Follow the MSASA PODCAST on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VaFg...
šŸŽ§ Listen on Buzzsprout: https...


Miaka 20 Kwenye Game na Bado Anakimbiza
Miaka 20 Kwenye Game na Bado Anakimbiza episode artwork
10/27/2024

Send us Fan Mail

Karibu kwenye #MsasaPodcast! Tunamkaribisha Jay Moe, mkongwe mwenye zaidi ya miaka 20 ya uzoefu katika kuburudisha Watanzania kwa nyimbo zenye mafumbo na ujumbe mkali kupitia muziki wa rap. Tutachambua safari ya muziki na mabadiliko ya tasnia ya muziki wa Bongo toka miaka ya nyuma mpaka sasa. Mazungumzo haya ni ya kuhamasisha, tukitazama mabadiliko, changamoto, na mafanikio katika entertainment industry!

šŸŽ§ Mgeni: Juma Mchopanga a.k.a Jay Moe
šŸŽ™ Mwenyeji: Elisha Simon a.k.a Hisiatz

Jiunge kwa maarifa kuhusu:
#Inspiration #Entrepreneurship #BusinessSuccess #StreetSmarts #Hustle #Marketing #SuccessMindset #PersonalGrowth #MsasaPodcast #BongoFlavor #bongoh...


Furaha yako ni Jukumu Lako
Furaha yako ni Jukumu Lako episode artwork
10/20/2024

Send us Fan Mail

Jiunge nasi kwenye #MsasaPodcast tunapomkaribisha Lumulike Mengele A.K.A Muli B, mfanyabiashara na DJ maarufu mwenye zaidi ya miaka 20 katika tasnia ya Bongo Flavor. Tutaangazia umuhimu wa kujitambua na nidhamu katika kufanikisha mafanikio ya muda mrefu. Usikose mazungumzo haya ya kuhamasisha!


šŸŽ§ Guest: Lumuliko Mengele (Muli B)
šŸŽ™ Host: Hisia (@hisiatz)
#Inspiration #Entrepreneurship #BusinessSuccess #StreetSmarts #Hustle #Marketing #SuccessMindset #PersonalGrowth #MsasaPodcast #BongoFlavor
____________

MSASA PODCASTĀ  šŸŽ™ :
Website: https://neiked.co.tz/msasa/
Follow the MSASA PODCAST channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VaFg...
Podcast Streaming: https://ww...


Leave Room For Magic
07/01/2024

Send us Fan Mail

Hakuna neno la ukweli lenye ladha ya asali, je akili yako inapokea uhalisia?

Usikose madini ya vichwa vitatu kutoka H_artĀ  the band on #msasapodcast on this very #specialepisode. Dont forget to listen to their new Album "TIME"Ā 


The Silent Loud One
07/01/2024

Send us Fan Mail

Being #different from the your competitors isn’t enough to win the market, so what is?

Leo tumemkaribisha a media buying expert akituelezea jinsi #effectivebranding inaweza kutusaidia kuboresha na kukuza #biashara zetu.Ā 

#msasapodcast #effectivecampaignĀ  #marketing #mediabuying Ā  #entrepreneurshipĀ  #TanzaniaĀ 

Guest: John Enos Otieno
Ā  / john-enos-otieno-69091919 Ā 

--
Host: HisiaĀ 
Ā  / hisiatzĀ  Ā 

MSASA PODCASTĀ  šŸŽ™ :

Let’s Touch Base on WhatsApp Channel šŸ’¬
https://whatsapp.com/channel/0029VaFg...Ā 


For more content like this SUBSCRIBE To our channel
Ā  Ā / @msasapodcast Ā 

Our Website
https://ne...


The Godfather of Comedy
The Godfather of Comedy episode artwork
05/05/2024

Send us Fan Mail

Sometimes getting out of #comfortzone is the key to many doors that you wouldn’t have opened otherwise.

Leo tumemkaribisha Godfather wa comedy Tanzania Evans Bukuku akitupa his personal experiences zenye #Msasa ndani yake that are guaranteed to leave you motivated to take on new #challenges and #opportunitiesĀ 


#msasapodcast #entrepreneurship #biashara Ā  #comedy #comedianĀ  #Tanzania #podcastĀ 

Guest: Evans Bukuku
https://instagram.com/evansbukuku/

http://linkedin.com/in/evans-bukuku-2a8a1076

--
Host: HisiaĀ 
https://instagram.com/hisiatz/Ā 

MSASA PODCASTĀ ...


Oxygen is Free
Oxygen is Free episode artwork
04/28/2024

Send us Fan Mail

The future of entrepreneurship in Africa it’s not just promising - it’s already unfolding na Kuna msemo wa Kiafrika unasema ā€œUkitaka kwenda haraka, nenda peke yako, ukitaka kwenda mbali, nenda na wenzakoā€

Leo kwenye #Msasa tumemkaribisha an agribusiness expert and a serial entrepreneur, Steve Issac Angelo akituelezea why being an entrepreneur in Africa requires different lens and mindset.


#MsasaPodcast #entrepreneurshipĀ  #africa #biashara #africaentrepreneur #ProblemSolvers #mjasiriamaliĀ  Ā #ujasiriamaliĀ  Ā #Tanzania

Guest: Steve Issac Angelo
Ā 
--
Host: Hisia Ā 

MSASA PODCASTĀ  šŸŽ™ :

Let’s Touch Base on Whats...


Maisha na Sauti Ya Guitar
Maisha na Sauti Ya Guitar episode artwork
04/14/2024

Send us Fan Mail

Kama wewe ni msanii au unataka kuwa msanii hii episode inakuhusu, Utapata kujua uhalisia wa Sanaa and what it takes to thrive in this industry
Leo tumekaribisha Grace Matata, Tanzania's beloved Afro soul singer, to share her personal insights, experiences, and wisdom gained from her journey in the #music industry

#musician #afrosoul #Inspiration #singer #Msasa #msasapodcast #Tanzania

Guest: Grace Matata
https://instagram.com/gracematata/

http://linkedin.com/in/grace-matata-24511b100

--
Host: HisiaĀ 
https://instagram.com/hisiatz/Ā 

MSASA PODCASTĀ  šŸŽ™ :


Buckle up! Life is not free
Buckle up! Life is not free episode artwork
04/13/2024

Send us Fan Mail

Refuse to let life happen to you - make it happen! Join us for a raw chat with Daniella Kwayu, a serial entrepreneur, economist, agriculture enthusiast and a founder of Pherma Agri and get ready to toughen up, take charge and take up space in a world that’s anything but easy.

#MsasaPodcast #investorsĀ  #founder #dontbeavictim #beincharge #entrepreneurship #ujasiriamali #impactinvestingĀ  Ā  #Tanzania

Guest: Daniella Kwayu
Ā  / daniellakwayuĀ 
Ā  / daniella-raymond-kwayu-994a6364Ā 
--
Host: Hisia
Ā  / hisiatzĀ 
Ā  / elisha-simon-151091Ā 
MSASA PODCASTĀ  šŸŽ™

Let’s Touch Base on WhatsApp Channel šŸ’¬


Bobby West Goes to Town
Bobby West Goes to Town episode artwork
04/13/2024

Send us Fan Mail

When the going gets tough, the tough gets going. Kwenye hii episode Bobby anatuelezea #changamoto mbali mbali alizokutana nazo kwenye maisha yake, lessons alizojifunza na njia anazotumia ku cope na new incoming #challenges
#Msasa #madini #advertising #creatives #faith #bongo #BongoIsBrain #Tanzania

Guest: Bobby Mongi
Ā  / bobbymongiĀ 
--
Host: Hisia
Ā  / hisiatzĀ 


MSASA PODCASTĀ  šŸŽ™ :

Let’s Touch Base on WhatsApp Channel šŸ’¬
https://whatsapp.com/channel/0029VaFg...


For more content like this SUBSCRIBE To our channel
Ā  Ā / @msasapodcastĀ 

Our Website
http...


Mwanajeshi na Nyota
Mwanajeshi na Nyota episode artwork
04/07/2024

Send us Fan Mail

Ukiona vyaelea ujue vimeundwa - Unamjua aliyeiunda EvoNem health App? Basi leo ndo yuko #msasani akitupa the ups and downs of building a #business in today’s world. From resilience in the face of #challenges to seizing opportunities for #growth, this episode is packed with tons of wisdom for all the aspiring #entrepreneurs out there!

#msasapodcast #techstartups #businessowner #wisdomsunday #podcast #Tanzania #entrepreneurship Ā 

Guest: Emmanuel Mbeyela
https://instagram.com/mbeyela255/Ā 

http://linkedin.com/in/emmanuel-mbeyela-539b2230

--
Host: HisiaĀ 
https://instagram.com/hisiatz/Ā 


The Curious Case of Arthur Kyara
The Curious Case of Arthur Kyara episode artwork
04/05/2024

Send us Fan Mail

kwenye game ya biashara, lazima ujue ni nini kinapiga kazi na nini hakiendi, otherwise utakuwa unapoteza muda na pesa. Na pia kwa vyote unavyofanya Mungu ndo caption number moja.

Leo tumemkaribisha the man of God ambaye pia ni mtaalam wa data kutuelezea umuhimu wa data na jinsi tunavyoweza kuitumia kuboresha biashara zetu.

#msasapodcast #datadriven #dataanalyst #biashara #dataĀ  #entrepreneurshipĀ  #TanzaniaĀ 

Guest: Arthur Kyara
https://instagram.com/arthurkyara/

http://linkedin.com/in/arthur-kyara-172b2b5b

--
Host: HisiaĀ 
https://instagram.com/hisi...


Saturn's Return
Saturn's Return episode artwork
03/10/2024

Send us Fan Mail

Ulipotoka unakuja unakokwenda haukutambui - everything that happens happens for a reason/ there’s a reason behind every twist and turn in life
Join us for an enlightening and laughter-filled episode featuring the one and only Deogratius, a multi-talented comedian and serial entrepreneur
On this episode, you will be entertained and inspired with deogratius unique perspective and hilarious anecdotes.Ā 

#msasapodcastĀ  #comedian #comedyshow #watubaki #sisiniwatubaki #wachekeshaji #entrepreneur #TanzaniaĀ 

Guest: Deo Gratius
https://instagram.com/deogratiusgram/
--
Host: HisiaĀ 
https://instagram.com/hisiatz/


MS...


Ukitaka kusikilizwa, sikiliza kwanza
Ukitaka kusikilizwa, sikiliza kwanza episode artwork
03/03/2024

Send us Fan Mail

Determination: the stubborn refusal to let life’s #challenges turn you into a soggy spongeĀ 
On this episode, we dive into the world of resilience and #determination with Edwin Musiba, the Founder & CEO of Salt Media Co

#msasapodcast #CreativeDirector #founder #creative Ā  #TanzaniaĀ 

Guest: Edwin Musiba
https://instagram.com/extraedinary/

http://linkedin.com/in/edwin-musiba-17308346

--
Host: HisiaĀ 
Instagram :Ā Ā /Ā hisiatzĀ Ā 

MSASA PODCASTĀ  šŸŽ™ :

Explore ā–¶ļø#MsasaPodcast Episodes https://chat.google.com/dm/kbHqoMAAAA...Ā 

Let’s Touch Base on WhatsApp Channel šŸ’¬


Usionyeshe Tatizo, Onyesha Suluhu
Usionyeshe Tatizo, Onyesha Suluhu episode artwork
02/26/2024

Send us Fan Mail

Care is the name of the game....join us as we talk what it takes to go above and beyond. Tune inĀ  kwenye #MsasaPodcast with Jacqueline Lawrence entrepreneur and director of @mbeyahighlandsfm , as we uncover the power of genuine care in business.
#Inspiration #entrepreneurship #businesssuccess

Usikose Msasa Leo na Jacqueline Lawrence

Guest: Jacqueline Lawrence
Instagram:Ā  @jackielawrencemĀ 

LinkedIn:Ā  @Ā jacqueline-lawrence-mwakyambikiĀ 

#media #marketing #events #business #entrepreneurs #msasapodcast
--
Host: Hisia
Instagram :Ā  Ā @hisiatz Ā 

MSASA PODCASTĀ  šŸŽ™ :
Website: https://neiked.co.tz/msasa/
Follow th...