Habari RFI-Ki
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
Kenya na DRC zakubaliana kurejesha uhusiano wa kidiplomasia
Kenya na DRC zimekubaliana kurejesha uhusiano wa kidiplomasia baada ya miaka mitatu ya mvutano na uhusiano baridi.
Je, ni sahihi kwa nchi wanachama wa jumuiya moja kuwa na migogoro?
Skiza makala haya.
CAS : Yarejeshea Senegal ushindi wa AFCON
Mahakama ya usuluhishi wa michezo CAS imerejeshea Senegal ushindi wa AFCON.
Skiza makala
Maoni huru ya waskilizaji wiki hii yakiwemo maswala ya EU na Ebola
Rwanda kuwapokea wahamiaji wanaofukuzwa kutoka nchi tano za Ulaya
Kauli za jenerali Muhoozi Kainerugaba mitandaoni zimeendelea kuibua hisia kali
Uchaguzi mkuu nchini Sudan Kusini umeahirishwa hadi Februari mwaka 2027
Miezi sita baadaye Ebola Bundibugyo bado ni hatari nchini DRC
WHO pamoja na Africa CDC zinaonya bado mlipuko wa Ebola Bundibugyo bado haujadhibitiwa
Dunia: Wapenzi wauawana kwa nini?
Visa vya wapenzi kuuawana vimeongezeka hivi karibuni katika maeneo mbalimbali duniani.
Tunakuuliza, unadhani ni mambo gani yanayochangia kuongezeka kwa visa hivi?
Kenya: Bunge kujadili mswaada wa kudhibiti mitandao
Nchini Kenya, mswaada umewasilishwa bungeni unaolenga kushinikiza mitandao ya kijamii kudhibiti maudhui hasi kuwafikia watoto chini ya umri wa miaka 18, au kutozwa dolla millioni 3 iwapo itakiuka sheria hiyo, hatua kama hii imechukuliwa na bara ulaya
Je unahisi hatua hii itafaulu kudhibiti athari za mitandao ya kijamii kwa watoto ?
Skiza makala.
Kenya : Paul Mackenzie afungwa jela miaka 200
Wiki iliyopita Mahakama nchini Kenya, ilimuhukumu kifungo cha miaka 200 mchungaji mwenye utata Paul Mackenzie, baada ya kumpata na hatia ya kuhusika na mauaji ya shakahola, hukumu iliyoibua hisia mseto.
Tuambie unazungumziaje adhabu iliyotolewa na mahakama, unafikiri inatosha?
Haya hapa maoni yako.
Kenya: Yaadimisha miaka 63 ya uhuru wake
Taifa la Kenya linaadhimisha miaka 63 ya kuwakumbuka mashujaa waliopigania uhuru wa taifa hilo
Tunakuuliza ni njia ipi sahihi ya kuwakumbuka wote waliopigania uhuru barani Afrika ?
Skiza makala.
Africa : Umaskini unatatiza bara Africa
Oktoba 17 dunia huadimisha siku ya kumaliza umaskini kwa wote.
Bara Africa bado umaskini ni donda sugu, hapa mskilizaji anatoa maoni yake kuhusu swala hilo.
Vijana wengi Afrika hawawezi kumudu majukumu ya kifedha au kuishi maisha mazuri
Aliyekuwa rais wa DRC Joseph Kabila aunda chama kipya na waasi wa M23
Raia wengi wa Afrika wanajipata wamesajiliwa kupigana na Urusi kwenye vita Ukraine
Ongezeko la ajali za barabani katika mataifa ya Afrika Mashariki
Mzozo wa Sudan waendelea, kiongozi wa kijeshi akikataa mazungumza na RSF
Kiongozi wa kijeshi nchini Sudan, Abdel Fattah al-Burhan, ameapa kuchukua kila sehemu ya ardhi ya nchi yake iliyo chini ya udhibiti wa wapiganaji wa RSF, huku akikataa majadiliano yanayolenga kumaliza vita nchini humo.
Kenya imeripoti maambukizi ya kwanza ya virusi vya Ebola aina ya Bundibugyo
Maadhimisho ya Siku ya kimataifa ya Walimu, kutambua mchango wao katika kujenga jamii
Licha ya hatua zilizopigwa, walimu kwenye nchi nyingi za Afrika wanalipwa mishahara midogo na wanafanya kazi kwenye mazingira magumu.Tunakuuliza je, walimu wanathaminiwa vya kutosha katika jamii yetu?
Nchini mwako hali ikoje na nini kifanyike kuthamini na kuboresha maslahi ya walimu?
Maoni ya wasikilizaji kuhusu matukio mbalimbali ulimwenguni juma hili
Kila siku ya Ijumaa tunakupa nafasi uzungumzie jambo ambalo umeliwazia wiki hii au pia habari kuu ulizozisikia katika matangazo yetu ya juma hili.
Manufaa ya kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu nchini Kenya.
Makala haya yameangazia mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu nchini Kenya, kitakachojengwa na Bilionea wa Afrika, Aliko Dangote, kiwanda hiki kikitarajiwa kukamilika ndani ya miaka mitatu na kitagharimu Dola za Marekani Bilioni 16.
Tumeuliza msikilizaji anazungumziaje uwekezaji huu, hasa kwakuwa unafanywa na raia wa Afrika.
Mbona matukio ya ukatili na mauaji ya wanawake yameongezeka Afrika?
Wiki hii visa vya wanawake kudhulumiwa na kuuwawa katika baadhi ya mataifa ya Afrika vimekuwa vikiongezeka, matukio ya karibuni ni kupatikana kwa miili zaidi ya 11 ya wanawake waliouawa nchini Afrika Kusini.
Mashirika ya kutetea haki za binadamu yanazitaka nchi kukomesha vitendo hivyo.
Tumemuuliza msikilizaji wa RFI Kiswahili, anafikiri kwa nini licha ya karne tuliyoko matukio ya ukatili wa wanawake yanaendelea na katika taifa lake hali ikoje.
Hatua ya rais Salva Kiir kuvunja serikali ya mpito kuelekea uchaguzi wa Disemba
Wafanyakazi wa umma hadi elfu 10 nchini Kenya walipata ajira kwa udanganyifu
Idadi kubwa ni wale ambao wameajiriwa na bunge na tume ya uchaguzi na mipaka
Viongozi wa dunia wanakutana wiki hii kwa kikao cha kila mwaka cha UNGA
Idadi kubwa ni wale ambao wameajiriwa na bunge na tume ya uchaguzi na mipaka ,IEBC.