Radio Maria Tanzania

10 Episodes
Subscribe

By: Radio Maria Tanzania

Haraka sana ilienea kote Italia, tayari katika miaka ya 90, uzoefu huu wa kipekee wa redio uliamsha shauku katika sehemu zingine za ulimwengu. Baadaye, kila mara chini ya uelekezi na usaidizi wa Radio Maria Italia, Radio Maria nyingine iliibuka Amerika (kuanzia na Peru), Afrika (kwanza Burkina Faso), sehemu nyingine za Ulaya… na hivyo Familia ya Ulimwengu ya Radio Maria ilizaliwa mnamo Juni 1998, na kuwa NGO inayotambuliwa na UN, yenye makao makuu ya kisheria huko Roma. Madhumuni yake ni kuendeleza mradi wa kimisionari, kujibu maombi yanayotoka katika maeneo yote ya dunia, kuhakikisha uhalisi wa chapa, kutoa usaidizi wa kiufundi kwa RM zote, na...

Fahamu Wito
Today at 6:36 AM

Ungana na Mtangazaji wako Martin Joseph katika kipindi cha Fahamu Wito wako kupitia Radio Maria Tanzania ambapo tuko naye Padre Innocent Bahati Mushi, OFMCap akizungumzia nini maana ya Wito?

 

L'articolo Nini Maana ya Wito? proviene da Radio Maria.


Amka na Mama
Today at 6:23 AM

L'articolo Amka na Mama Dominika ya pili Pasaka[ Sehemu ya Kumi] proviene da Radio Maria.


Maswali ya Imani
Today at 5:48 AM

Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateli Jackob Venusto Mkandawile, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo kuu la Songea Swali la Misikilizaji linalojibiwa linasema Je kwa Wayahudi kulikua na tofauti kati ya Sikukuu ya Pasaka na Sikukuu ya vibanda.

L'articolo Fahamu Utofauti kati ya Sikukuu ya Pasaka na Sikukuu ya Vibanda. proviene da Radio Maria.


Maswali ya Imani
Yesterday at 1:04 PM

Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateri  Hugo Venance, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo kuu la Songea swali la Msikilizaji linalojibiwa linasema, Tunaomba ufafanuzi juu ya Fadhila kuu tatu za kimungu , yaani Imani, Matumaini na Mapendo

L'articolo Je, Wafahamu Fadhila za Kimungu? proviene da Radio Maria.


NENA NAMI BWANA
Yesterday at 11:34 AM

Karibu katika kipindi cha Nena nami Bwana ambapo anayenena nasi ni Mhashamu Ludovick Minde, Askofu wa Jimbo Katoliki Moshi

L'articolo Askofu Minde” Mwanga wa Kwanza wa mbali wa Wokovu wa Siku” proviene da Radio Maria.


Maswali ya Imani
Yesterday at 10:45 AM

Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateri Faxon Polycarp Mpili, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo kuu la Songea swali la Msikilizaji linalojibiwa linasema,  Juu ya Msalaba wa Yesu yameandikwa Maneno haya INRI maneno hayo yanamaana gani?

L'articolo Nini Maana ya INRI? proviene da Radio Maria.


Maswali ya Imani
Yesterday at 8:08 AM

Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateli Jackob Venusto Mkandawile, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo kuu la Songea Swali la Misikilizaji linalojibiwa linasema Je ni dhambi kwa Mkristo kutumia dawa za mitishamba.

L'articolo Je, ni dhambi kwa Mkristo kutumia dawa za mitishamba? proviene da Radio Maria.


MTAGUSO MKUU WA VATICAN
Last Friday at 2:22 PM

Karibu katika kipindi cha Mtaguso Mkuu wa Vatcan na Padre Richard Matanda Tesha kutoka Parokia ya Mtakatifu Thomas Mtume Mrao Rombo Jimbo Katoliki Moshi, anazungumzia waraka wa Baba Mtakatifu Yohane xxiii, Kanisa ni Mama na mwalimu.

L'articolo Fahamu waraka wa Baba Mtakatifu Yohane xxiii, Kanisa ni Mama na mwalimu. proviene da Radio Maria.


MTAGUSO MKUU WA VATCAN
Last Friday at 1:43 PM

Karibu katika kipindi cha Mtaguso Mkuu wa Vatcan, Muwezeshaji ni Padre Richard Matanda Tesha kutoka Parokia ya Mtakatifu Thomas Mtume Mrao Rombo Jimbo katoliki Moshi, anazungumzia juu ya Waraka wa Baba Mtakatifu Yohane Paulo ii kwa vijana.

L'articolo Fahamu waraka wa Baba Mtakatifu Yohane Paulo ii kwa vijana. proviene da Radio Maria.


Katekisimu Katoliki
Last Friday at 12:02 PM

Karibu Ungane nami Happiness Mlewa,  katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo wa Radio Maria Tanzania, akizungumzia Salamu ya Matumaini

L'articolo Je, wafahamu Salamu ya Matumaini? proviene da Radio Maria.