Hope for Today (Swahili)

10 Episodes
Subscribe

By: Heralds of Hope

Heralds of Hope: Circling the Globe with the Gospel

TAZAMA PANDE ZOTE MBILI
07/19/2023

WAGALATIA 4:21-31

Hujambo msikilizaji wangu na karibu tujifunze neno pamoja. Natumai ubuheri wa afya leo twalichambua Neno kutoka kwa waraka wa Paulo kwa wagalatia 4:21-31 tazama pande zote mbili, jina kangu ni david mungai, karibu wimbo alafu tuendelee kulichambua neno

WIMBO

Naam karibu tena wagalatia 4:21-31 tazama pande zote mbili

Wahenga hata wataalamu wa mashauri husema nakufundisha ya kwamba kablaya kufikia uamuzi wa aina iwayo yote tazama pande zote mbili au niseme tazama pande zote mbili maana hiyo ni busara na hekima usije kaanguka ndani ya shimo na kuhesabu hasara

<...


HATARI YA KIROHO
07/17/2023

MATUMAINI PROG 1509 TITLE: HTARI YA KIROHO TEXT: WAGALATIA 4:15-20

Hukambo msikilizaji wangu natumai ubuheri wa afya, utukufu ni kwake bwana mungu wetu katikakristo yesu, Leo twalichambua nno la mungu kutoka waraka wa Paulo kwa wagalatia 4:15-20 HATARI YA KIROHO jina langu ni david mungai wimbo alafu tuendelee

WIMBO

Naam karibu tena tujifunze neno la mungu wagalatia 4:15-20 HATARI YA KIROHO

Maisha ya kimwili yana hatari zake hali kadhalika maisha ya kiroho nasoma kutoka waraka wa Paulo kwa wagalatia 4:15-20

15 Ku wapi, basi, kule kujiita heri? Maana nawashuhudu kwamba, kama...


UPUNGUFU
07/14/2023

MATUMAINI PROG 1508 TITLE: UPUNGUFU TEXT: WAGALATIA 4:8-14 Hujambo na karibu tujifunze neno la mungu pamoja leo twalichambua fungu la neno kutoka wagaltia 4:8-14 UPUNGUFU Jina langu ni David Mungai, wimbo alafu tuendelee WIMBO Naam karibu ten tujifunze neno la mungu, upungufu mmoja wapo wa mambo yaliyo na upungufuni dini na zaidishirika za waumini zilizo na ufisadi. Tumefisadihata nainjili tunapoiuza injili twaifisadi maana wokovu ni kwa Imani katika yesu kristo tunapoongeza madoido yetu katika injili ya bwana wetu yesu kristo twafisadi na tunakuwa na upungufu nasoma sasa neno kutoka waraka wa Paulo kwa wagalatia 4:8-14 8 Lakini wakati ule, kwa kuwa...


UMUHIMU WA IMANI
07/10/2023

MATUMAINI PROG 1506 TITLE: UMUHIMU WA IMANI TEXT: WAGALATIA 3:26-29 Hujambo mpenzi msikilizaji na karibu tujifunze neno pamoja. Leo twalichambua fungu la neno kutoka waraka wa Paulo kwa wagalatia 3:26-29, UMUHIMU WA IMANI jina langu ni David Mungai kabla hatujaendelea Zaidi furahia wimbo huu tuendell WIMBO Naam karibu tena tujifunze neno waraka wa Paulo kwa wagalatia 3:26-29 UMUHIMU WA IMANI Katika maisha yetu tunavyo vitu tunavyothamini kuliko vingine kulingana na umuhimu wa vitu vile katika maisha yetu. Hii ni baada ya uchunguzi na upelelezi wa kina sana na hivyo basi mtu aweza kuwa na Imani na kile chombo au kitu ...


KWANINI TORAKI
07/07/2023

MATUMAINI PROG 1505 TITLE: KWANINI TORAKI TEXT: WAGALATIA 3:19-25 Hujambo msikilizaji karibu tulichambue neno waraka wa Paulo kwa wagalatia 3:19-25, kwanini torati? Jina langu ni david mungai wimbo halafu tuendelee WIMBO Karibu tena tujifunze neno katika mafunzo ya neno la mugnu twajua na kufahamu ya kwamba mungu ni mungu wa torati na ana utaratibu kwa mfano jua huchomoza kati siku na usiku kwa wakati wake zote mbili hazijitokezi kwa wakati mmoja kweli mungu ana torati na sharia zake na utaratibu. Jadwali na orodha hazina kasoro kwanini mungu akatoa torati kwa mkono wa musa? Mtume Paulo aliyefahamu neno bado auliza swali...


UKWELI WA AGANAO NA IBRAHIMU
07/05/2023

MATUMAINI PROG 1504 TITLE: UKWELI WA AGANAO NA IBRAHIMU TEXT: WAGALATIA 3:15-18 Hujambo msikilizaji wangu karibu sana tujifunze neno la mungu, leo twajifunza kwa undani fungu la neno nkutoka warakawa Paulo kwa wagalatia3:15-18, jina langu ni David mungai, wimbo alafu tuendlee WIMBO Naam katibu tena tujifunze neno, wagalatia 3:15-18 ukweli wa agano na ibrahimu Baba yetu ibrahimu ni mtu muhimu na wa maana katika mpango wa mungu kwetu na katika hitoria inayoonyesha namna mungu alidumisha uwepo wake kwa ibrahimu ni muhumu na tunayo sababu ya kujua na kufahamu ukweli wa agano katia ya mungu na ibrahimu. Hata yesu mwenyewe...


JIHEPUSHE NA HUKUMU YA KIFO
07/03/2023

MATUMAINI PROG 1503 TITLE: JIHEPUSHE NA HUKUMU YA KIFO TEXT: WAGALATIA 3:10-14 Hujambo mpenzi msikilizaji, natumai ubuheri wa afya na hayo ndiyo maombi yangu. Leo twalichambua neno kutoka kwa waraka wa Paulo kwa wgaltia 3:10-14, jihepushe na hukumu ya kifo. Wimbo alafu tuendelee WIMBO

Naam karibu tena tujifunze neno. Twalichambua fungu la neno kutoka kwa waraka wa Paulo kwa wagalatia 3:10-14 naoma fungu hili la neno

10 Kwa maana wale wote walio wa matendo ya sheria, wako chini ya laana; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu asiyedumu katika yote yaliyoandikwa katika kitabu cha torati, ayafanye. 11 Ni dhahiri ya...


BABA YETU IBRAHIMU
06/30/2023

MATUMAINI PROG 1502 TITLE: BABA YETU IBRAHIMU TEXT: WAGALATIA 3:6-9 Hujambo msikilizaji wangi mpenzi na karibu tulichambue neno la mungu pamija. Jina langu ni david mungai. Wagalatia 3:6-9 baba yetu ibrahimu. Wimbo alfu tutaendelea. WIMBO Naam karibu tena tulichambue fungu la nenp kutoka wagalatia 3:6-9 baba yetu ibrahimu Kwanini ibrahimu alijulikana sana katika historia ya biblia? Jibu ni kwamba ibrahimu alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa Imani na ndiye baba yetu. Lakini mtume Paulo amwonaje ibrahimu? Nasoma kutoka wagalatia 3:6-9 Ibrahimu na maisha yake ni changamoto kubwa kwetu kwasabu gani? 1 ibrahimu alikuwa na Imani katika mungu aliye wa kweli...


JINSI IMANI INAVYOFANYA KAZI
06/28/2023

MATUMAINI PROG 1501 TITLE: JINSI IMANI INAVYOFANYA KAZI TEXT: WAGALATIA 3:1-5 Hujambo. Karibu tujifunze pamoja kutoka waraka wa Paulo kwa wagalatia 3:1-5 jinsi Imani hufanya kazi. Jiana langu ni David mungai, wimbo alfu tuendelee WIMBO Naam karibu tena. Baadhi yetu hufikiria ya kwamba Imani yetu ni kikwazo wengine hufikiria na kuwaza waza kuwa Imani ni hali ya akili tu lakini tukubali ya kwamba maisha yetu na uammuzi wetu hutegemea namna ya Imani ilivyo na nguvu na uweza wa kuyatenda mabo ya ajabu kwa utukufu wake mungu. twahitaji mazoea ya Imani anza kujifunza kujiombea kwa Imani maana hata kabal ya kuomba...


MSALABA WA YESU NI LAZIMA
06/26/2023

MATUMAINI PROG 1500 TITLE: MSALABA WA YESU NI LAZIMA TEXT: WAGALATIA 2:20-21 Hujambo na karibu tujifunze neno lamungu pamoja msalaba wa yesu kristo ni lazima ndio mada yetu. Wagalatia 2:20-21. Jina langu ni david ungai wimbo alafu tuendelee WIMBO Naam karibu tujifunze pamoja kutoka waraka wa Paulo kwa wagalatia 2:20-21, msalaba wa yesu ni lazima. Makanisa mengi karibu yote huonyesha na kuanika yote wazi msalaba maana katika Imani na mafundisho ya ukristo msalaba ni lazima. Warumi walitumia msalba kuwatesa na kuhukumu waasi. Sisi wakristo huzingatia na kuhimiza ujumbe na somo la msalaba. Somo na ujumbe wa kuteswa kwake bwana wetu...